Dkt. Mbarak Bahajaj aidhinishwa kuwa naibu wa gavana Lamu

  • | Citizen TV
    364 views

    Bunge la kaunti ya Lamu limempitisha Waziri Wa Afya wa Lamu Daktari Mbarak Bahajaj kuwa Naibu Gavana wa Lamu baada ya kuteuliwa na Gavana wa kaunti hiyo Issa Timamy. Mbarak amechukua nafasi yake Aliyekuwa Naibu Gavana wa Lamu Rapheal Munywa aliyefariki mwaka jana baada ya kuugua kwa muda mfupi..