Douglas Kanja apendekezwa kuwa Inspekta Jenerali

  • | KBC Video
    152 views

    Rais William Ruto amempendekeza Douglas Kanja Kirocho kuwa Inspekta Jenerali wa polisi kusubiri kusailiwa na bunge. Kanja aliteuliwa kuwa kaimu Inspekta Jenerali wa polisi baada ya Japhet Koome kujiuzulu kati kati ya mwezi huu. Kwenye taarifa kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma, Felix Koskei rais Ruto pia amewateua Eliud Kipkoech Lagat kuwa naibu Inspekta Jenerali wa polisi wa kaiwada na Gilbert Masengeli kuwa naibu Inspekta jenerali wa polisi wa utawala. Wakati huo huo, Gilbert Masengeli atashikilia wadhifa wa Inspector Jenerali wa polisi..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive