Douglas Kanja na Amin Mohamed hatimaye wafika mahakamani

  • | Citizen TV
    3,314 views

    Kesi ya watu watatu waliotekwa nyara huko mlolongo inaendelea mbele ya jaji chacha mwita ambapo mawakili wa familia, wanaharakati na chama cha mawakili nchini wanamtaka inspekta jenerali wa polisi awaasilishe watu hao wanaoaminika kukamatwa kinyume cha sheria na asai za usalama