Dunia Wiki Hii: Kiongozi mmoja mkuu wa kundi la Hamas na wanawe wawili wauawa

  • | KBC Video
    527 views

    Katika makala ya juma hili, - Jeshi la Israel liliimarisha mashambulizi jijini Gaza huku baraza la usalama kuhusu haki za binadamu likishinikiza kuepushwa kwa mauaji ya halaiki. - Trump atangaza mashauriano ya moja kwa moja na Iran huku taharuki ya kinuklia ikitanda. - Kiongozi mmoja mkuu wa kundi la Hamas na wanawe wawili wauawa kwenye shambulizi la droni la Israel kusini mwa Lebanon.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News