Mwanamke pekee anayecheza mchezo wa makachu Zanzibar

  • | BBC Swahili
    2,933 views
    Huko Visiwani Zanzibar mchezo maarufu wa Makachu umetoa ajira kwa vijana wengi akiwemo mwadada Albayna Ally almaarufu kama Dada wa Makachu ambaye ni mwanamke pekee anayecheza mchezo huu visiwani humo. Mtangazaji kinara wa kipindi cha Dira TV @ronclifeodit alimtembelea visiwani humo na kuandaa taarifa ifuatayo 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw