Kaunti ya Nairobi yakanusha madai ya “jiji chafu zaidi”

  • | KBC Video
    92 views

    Serikali ya kaunti ya Nairobi imekanusha madai kwamba imeshindwa kutekeleza majukumu yake ya kudumisha usafi na mazingira bora kwa manufaa ya wananchi na kuwezesha biashara kunawiri. Kulingana na afisa mkuu anayesimamia masuala ya mazingira katika gatuzi hilo, Geofry Morisia, serikali ya kaunti inakabiliana vilivyo na watu pamoja na biashara zote zinazochangia uchafuzi wa hewa na mazingira. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive