Wakazi wa Owino Uhuru, Mombasa wawatimua maafisa wa NEMA

  • | KBC Video
    55 views

    Mpango wa kuboreshaji na kunadhifisha kijiji cha Owino Uhuru katika kaunti ya Mombasa unaotekelezwa na halmashauri ya kitaifa ya usimamizi wa mazingira-NEMA uligonga mwamba baada ya wakazi kuwafurusha maafisa wa halmashauri hiyo. Maafisa hao wakishirikiana na wengine kutoka mashirika mbalimbali ya serikali walisema kundi hilo lilikuwa linafuata maagizo ya mahakama yaliyoruhusu shughuli hiyo kuendelea. Shughuli hiyo ilikosa kuendelea baada ya wakazi kuzua rabsha. Mwanahabari wetu Ann Mburu na kina cha taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive