Makamishna wa IEBC I Wawaniaji wahojiwa kuhusu ufaafu

  • | KBC Video
    309 views

    Mchakato wa kupatia mustakabali wa uchaguzi humu nchini sura mpya unaendelea, huku wawaniaji sita wa nyadhifa za makamishna wa tume ya IEBC wakifika mbele ya jopo la uteuzi. Wawaniaji hao waliahidi kushughulikia masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na ulainishaji wa mfumo wa usajili wa wapiga kura wakati wa utoaji vitambulisho na pasipoti, ili kurahisisha utambulisho na kuwezesha wakenya kuchagua maeneo yao ya kupiga kura. Ben Chumba na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive