- 138 viewsKwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Nishati, dunia sasa inawekeza karibu mara mbili katika uzalishaji wa nishati safi ikilinganishwa na uwekezaji katika mafuta ghafi. Hatua hiyo hata hivyo ina athari za kimazingira kutokana na uchimbaji wa madini muhimu. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Dunia yawekeza zaidi katika uzalishaji wa nishati safi
- 22 Nov 2024 - Residents of Tiaty constituency in Baringo County have been granted relief with the opening of a new Civil Registration Services (CRS) office at Chemolingot shopping centre.
- 22 Nov 2024 - The Pharmacy and Poisons Board (PPB) has issued a recall for Efinox nasal drops following a labelling and packaging error affecting two specific batches: Efinox 1% w/v (Batch No. 82979) and Efinox 0.5% w/v (Batch No. 82978).
- 22 Nov 2024 - The Ministry of Education has recorded 621 examination malpractices at the conclusion of the 2024 Kenya Certificate of Secondary Education.
- 22 Nov 2024 - Uganda's Minister for ICT Chris Baryomunsi has alleged that the Kenyan government was in touch with the Ugandan administration in order to facilitate the arrest of official opposition leader Kizza Besigye in Nairobi.
- 22 Nov 2024 - South Sudan's President Salva Kiir held an urgent meeting of top security brass on Friday after a shootout at the home of powerful former spy chief Akol Koor, who was sacked almost two months ago amid rumours of a coup plot.
- 22 Nov 2024 - Nairobi Governor Johnson Sakaja has attributed the county’s revenue growth to the digitization of all revenue streams, a move that he says has significantly boosted efficiency and transparency.
- 22 Nov 2024 - Directive follows a nationwide assessment of dormitory safety and sanitation.
- 22 Nov 2024 - The Government has opened a new office to register births and deaths in the expansive Tiaty constituency in Baringo County. Immigration PS Julius Bitok said the Civil Registration Services office located at Chemolingot shopping centre will offer respite…
- 22 Nov 2024 - Reports suggest the incident may have been triggered by an attempt to arrest the former spy chief,
- 22 Nov 2024 - The High Court has issued orders barring the government from implementing orders requiring passengers entering Kenya to declare the International Mobile Equipment Identity (IMEI) numbers of any mobile devices they intend to use while in the country.