EACC inafanya msako wa maafisa wanaodaiwa kula mlungula

  • | Citizen TV
    1,558 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imeendeleza msako mkali dhidi ya maafisa wanaodaiwa kula mlungula katika kaunti za Tana River na Kilifi.