Edwin Sifuna asema Rais William Ruto atapoteza uchaguzi mkuu ujao

  • | Citizen TV
    4,409 views

    Katibu Mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna sasa anadai kuwa huenda Rais William Ruto akapoteza uchaguzi mkuu ujao hata akapata uungwaji mkono wa waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Sifuna akisema kuwa, msukosuko wa uongozi wa serikali ya Kenya Kwanza huenda ikamkosesha rais nafasi nyingine. Sifuna amezungumza kwenye kipindi cha Daybreak hapa Citizen