Elimu ya juu : Wakenya watahadharishwa dhidi ya vyuo vikuu bandia

  • | KBC Video
    6 views

    Serikali imehimizwa kubuni sera za kuhakikisha upatikanaji wa elimu ya juu kwa wakenya wote . Wakiongea wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la shughuli za masomo katika chuo kikuu cha KCA jijini Nairobi, mwenyekiti wa tume ya elimu ya chuo kikuu prof. Chacha Nyaigoti na naibu chansela wa chuo kikuu cha KCA prof. Isaiah Wakindiki waliwashauri wakenya kuwa waangalifu wanapotuma maombi ya kujiunga na vyuo vikuu ili kuepuka kuhadaiwa na kujiunga na vyuo vikuu ambavyo havijaidhinishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News