Elimu ya Mtandaoni

  • | Citizen TV
    104 views

    Wizara ya Elimu imeanzisha mpango wa kuwaelimisha wakenya kukumbatia mfumo wa masomo kwa njia ya mitandao. Washikadau mbalimbali kutoka sekta hiyo ya Elimu wako mjini Kisii kufanya kikao maalum na viongozi wa kaunti hiyo. wafanyakazi wa kaunti ya Kisii watapata fursa ya kuongeza elimu katika chuo kikuu mtandaoni.