Mahmoud Rajab achaguliwa mwenyekiti mpya wa bodaboda kaunti ya Kwale

  • | TV 47
    8 views

    Mzozo umeibuka kuhusu uongozi wa bodaboda Kwale (BAK).

    Mzozo huo umechangia mgawanyiko wa wahudumu wa bodaboda.

    Mahmoud Rajab achaguliwa mwenyekiti mpya wa bodaboda.

    Mwenyekiti aliyetolewa Nehemiah Kinywa amlaumu Kevin Mubadi

    Uongozi wa Rajab wapingwa na wafuasi wa Kinywa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __