Ezekiel: Pesa zinazo okotwa na KRA hupelekwa kwa Bodi ya Ushirika ya Kenya ili ziwaendee wanamuziki

  • | KBC Video
    12 views

    Dkt. Ezekiel Mutua - Afisa Mkuu wa chama cha wasanii: Pesa ambazo huokotwa na shirika la ukusanyaji wa ushuru nchini hupelekwa kwa Bodi ya Ushirika ya Kenya ambazo zinafaa ziwaendee wanamuziki. Chama cha MSCK, nikuepeana mwelekeo nani atalipwa pesa hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News