Fahamu sababu zilizosababisha jengo kubomolewa, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,280 views
    Jengo la ghorofa 11 lililoanza kuzama wiki jana limebomolewa mjini Mombasa nchini Kenya. Serikali ya jimbo la Mombasa inasema mtu mmoja alifariki wakati jengo lilipoanza kuzama siku tatu zilizopita. Ili kuepusha maafa zaidi, mamlaka ziliamuru wakaazi walioko angalau kilomita 1.2 kutoka eneo hilo ili kutekeleza ubomoaji huo.