Fahamu umuhimu wa lugha ya mama

  • | BBC Swahili
    257 views
    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa Februari 21 ya kila mwaka, na inatambuliwa na Umoja wa Mataifa kwa lengo la kukuza utofauti wa lugha na tamaduni pamoja na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha kote duniani. Lakini siku hii ina umuhimu gani?