Faith Cherotich asimulia ushindi dhidi ya Winfred Yavi na jina lake la 'Kitinda Mimba'

  • | NTV Video
    170 views

    Leo mtazamaji mwendo wa saa kumi na mbili jioni mshindi wa nishani ya shaba ya Olimpiki kwa mbio za kuruka viunzi na maji Faith Cherotich alikuwa na mkao na mwanaspoti wetu Victor Wafula na kusimulia jinsi alivyompiku bingwa wa Olimpiki Winfred Yavi katika mbio za ligi ya Almasi na ni kwa nini yeye huitwa kitinda mimba katika timu ya riadha ya Kenya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya