Familia 100 za mtaa wa makande zahamishwa kwa lazima

  • | Citizen TV
    1,251 views

    Familia 100 zinazoishi katika mtaa wa makande zinafurushwa kwa kile kinachodaiwa kukosa kulipa malimbikizi ya kodi.