Familia zapokea msaada wa chakula Kisumu

  • | KBC Video
    129 views

    Zaidi ya familia 100 zinazoishi katika mazingira magumu wakiwemo wazee na watu walio na ulemavu katika mtaa wa mabanda wa Manyatta kaunti ya Kisumu, zimenufaika na msaada wa chakula kutoka shirika moja lisilo la serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive