Familia maskini zapewa zawadi na viongozi jijini Nakuru

  • | Citizen TV
    299 views

    Familia 150 kutoka jamii ya waislamu eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru hii leo wamenufaika na msaada wa vyakula kama njia moja ya kuadhimisha kukamilika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan.