Familia moja Busia yataka mshukiwa mkuu wa mauaji akamatwe

  • | KBC Video
    65 views

    Familia moja katika eneo la Limara kaunti ya Busia inaomba mamlaka husika kuchukua hatua dhidi ya mwanamke anayedaiwa kumuua bintiye wa umri wa miaka-15.Familia hiyo iliyoshuhudia uchunguzi wa mwili wa marehemu siku-12 baada ya kifo chake inasema mwanamke huyo aliyeachiliwa kwa dhamana yuko ametoweka. Matokeo ya awali yanaonyesha kwamba msichana huyo ambaye alikuwa mwanafunzi katika shule ya upili ya Rangála kaunti ya Siaya alifariki kwa kukosa hewa baada ya kupigwa kwa silaha butu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive