Familia moja Kiambu inasononeka baada ya kuzuiliwa kwa mwili wa jamaa yao hospitalini

  • | KBC Video
    346 views

    Familia moja huko katika kaunti ya Kiambu, inaendelea kukadiria hasara kufuatia kuzuiliwa kwa mwili wa jamaa katika hospitali ya chuo kikuu cha Kenyatta kutokana na bili inayoidi kuongezeka . Caleb Oyango, mwenye umri wa miaka 40 anaripotiwa kufarikia baada ya kuugua kwa muda mfupi alipokuwa anatibiwa katika hospitali hiyo. Familia hiyo sasa inahitaji shilingi milioni 1.7 ili kulipa bili hiyo na pia kuweza kumzika jamaa wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive