Familia moja Nanyuki yaomba msaada wa kifedha jamaa wao kufanyiwa upasuaji

  • | KBC Video
    121 views

    Familia moja eneo la Thingithu mjini Nanyuki kaunti ya Laikipia inatafuta usaidizi wa kifedha kumsaidia jamaa wao kufanyiwa upasuaji kuokoa maisha yake. Beatrice Mwangi amekuwa akipitia uchungu mwingi ambao umemsababisha kufika hospitalini mara kwa mara, hatua ambayo imeigharimu pakubwa familia hiyo. Beatrice ambaye anaugua ugonjwa wa Endometrial hyperplasia' unaosababisha utando wa nyumba ya uzazi kunenepa kupita kiasi, sasa amewaomba wahisani kumsaidia kuchangisha pesa ili kumwezesha kufanyiwa upasuaji huo.

    Msaada unatumwa kwa Beatrice Mwangi , 0710309719

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive