Skip to main content
Skip to main content

Familia Mombasa yapigania haki miaka 2 baada ya kifo cha Kennedy

  • | KTN News
    248 views
    Duration: 2:20
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – Familia moja mjini Mombasa inaendelea kulilia haki miaka miwili baada ya kifo cha jamaa wao, Kennedy Olilo Obura, aliyeuawa muda mfupi baada ya kuhudhuria harusi ya rafiki yake mnamo Novemba 2023. Familia hiyo inasema bado haijapata majibu wala hatua madhubuti kutoka kwa vyombo husika na inataka uchunguzi wa kina kufanywa ili haki ipatikane. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews