Familia tatu zalilia haki kuhusu kupotea kwa jamaa zao

  • | Citizen TV
    1,638 views

    Kwenye taarifa tofauti ya utekaji nyara isiyohusiana na ukosoaji wa serikali ni kuwa, Familia tatu kutoka eneo la Mlolongo zinadai haki na hatua za haraka baada ya wapendwa wao kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Familia hizi, zikiwa zimejawa na hofu na sintofahamu, zinazidi kutafuta majibu kutoka kwa polisi, bila majibu