Familia Ya Evans Owino Yaomba Haki Baada Ya Kupata Mpendwa Wao Bila Viungo

  • | TV 47
    69 views

    Familia Ya Evans Owino Yaomba Haki Baada Ya Kupata Mpendwa Wao Bila Viungo

    Familia moja ambayo imekuwa ikimtafuta mpendwa wao kwa miezi mitatu imetamaushwa baada ya kuupata mwili ambao wanakisia ni wa jamaa wao, familia ya Evans Owino mwenye miaka 31 ambaye alitoweka Novemba 2024 inadai haki baada ya kuupata mwili wa mpendwa wao katika makafani ya citi ukiwa umeoza.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __