Familia ya John Muchiri, mwanamume aliyeuawa kwa njia tatanishi yalilia haki

  • | Citizen TV
    1,742 views

    Familia ya john muchiri mwanamume mwenye umri wa miaka 27 ambaye mwili wake ulipatikana kando ya barabara katika eneo la kawaidakaunti ya kiambu inalilia haki.