Familia ya Mercy Chepng’eno yasema mtoto wao alibadilishwa na wauguzi Nakuru

  • | NTV Video
    695 views

    Utata kuhusiana na kupotea kwa mwili wa mtoto Mercy Chepng’eno katika Hospitali ya Rufaa ya Nakuru umechukua mkondo mpya baada ya familia ya mtoto huyo kudai kwamba mwana wao alibadilishwa na wauguzi wa kituo hicho.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya