Ferdinand Waititu anatarajiwa kuhukumiwa kesho baada ya kupatikana na hatia ya ulaghai

  • | K24 Video
    78 views

    Aliyekuwa gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu anatarajiwa kuhukumiwa kesho baada ya kupatikana na hatia ya ulaghai katika utoaji wa zabuni ya barabara ya shilingi milioni 588 kinyume cha sheria. Wengine waliopatikana na hatia ni mkewe, susan wangari na wakurugenzi wa kampuni ya testimonies Charles Chege na Beth Wangeci ambao walipewa zabuni hiyo na maafisa wengine wa kaunti.