Mamlaka ya afya ya jamii SHA inakabiliwa na changamoto za kukusanya hela

  • | K24 Video
    15 views

    Mamlaka ya afya ya jamii SHA inakabiliwa na changamoto za kukusanya hela kwani ni takriban wakenya milioni nne pekee wanaolipa ada zao,ingawa waliosajiliwa ni wengi. Wakati huo huo, serikali za kaunti bado hazijawasilisha michango kwa ajili ya watu wasiojiweza katika bima hiyo. Katika mkutano wa kila wiki, wizara ya afya sasa inabadili wito wake, ikihimiza wakenya wengi wawajibikie kulipa badala ya kujisajili tu katika bima mpya ya afya.