- 1,380 viewsDuration: 3:23Familia nyingine katika eneo la Taita Taveta inaomboleza kifo cha jamaa yao aliyefariki nchini Tanzania. Familia ya Albert Kamala inasema jamaa yao alikamatwa Moshi na kupatikana amefariki karibu na mpaka wa Kenya na taifa hilo. Haya yanajiri huku mkenya mwingine aliyekamatwa na kuzuiliwa Tanzania kwa siku nane akisimulia namna safari yake ya kutalii na kufanya biashara ilimtumbukia nyongo.