Familia ya mtoto Tesline aliye na matatizo ya moyo, yaomba msaada

  • | KBC Video
    40 views

    Familia moja katika kaunti ya Busia inaomba usaidizi wa kifedha kuokoa maisha ya mwanao wa umri wa miezi mitano, ambaye anaugua ugonjwa hatari wa moyo. Tesline Akinyi anahitaji upasuaji wa dharura nchini India, baada ya kugunduliwa kuwa na ugonjwa huo . Familia hiyo kutoka kijiji cha Mauko eneo la Matayos, kaunti ya Busia, hata hivyo haina uwezo wa kupata pesa za kugharamia upasuaji huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive