Familia ya Mtoto wa miaka 14 Mlemavu aliyetupwa na Mamake akiwa na miezi mitatu inaomba msaada

  • | West TV
    23 views
    Uchungu wa mwana aujuae ni mzazi ila kwa wengine uchungu wa mwana huzidishwa na mazazi. Hii ndiyo hali ya kijana Domnic Wesonga wa miaka 14 katika kijiji cha Kaludeka Okarot, kata ndogo ya Musokoto wadi ya Walatsi Nambale, aliyetupwa na mamake akiwa na umri wa miezi mitatu pekee kutokana ulemavu alipozaliwa nao. Jeremy omondi anaarifu kuhusu kijana huyu asiye na uwezo wa kuketi, kusimama, wala kusonga.