Familia yaomba msaada wa shilingi milioni-3.4 kulipia bili ya hospitali

  • | KBC Video
    24 views

    Familia moja katika kaunti ya Mombasa inahitaji kwa dharura shilingi milioni-3.4 kulipia bili ya hospitali ya mtoto wao mchanga. Baby Shawn aligunduliwa kuwa na kichomi kikali siku mbili tu baada ya kuzaliwa na amekuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Pandya kwa muda wa miezi miwili iliyopita. Mamake Shawn Sofia Kimathi ametoa wito kwa wahisani kuwasaidia. Michango inaweza kutolewa kupitia nambari ya Paybill: 247247, nambari ya akaunti : 483009. Unaweza kuwasiliana na Sofia kupitia nambari yake ya simu 0702146202.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive