Skip to main content
Skip to main content

Familia za vijana waliosafirishwa Urusi kinyume cha sheria zaomba washirudishwe nyumbani

  • | Citizen TV
    2,687 views
    Duration: 13:02
    Familia za vijana waliosafirishwa hadi nchini urusi kinyume na sheria sasa zinaililia serikali kuwarudisha nchini. Familia hizo zinasema kuwa jamaa zao wanahangaika huku baadhi wakiuwawa na wengine kujeruhiwa kwenye vita vya Urusi na Ukraine.