Familia za waliotekwa nyara zataka kurejeshwa kwa wapendwa wao

  • | KBC Video
    317 views

    Familia za waliotekwa nyara zimejitokeza kuzungumza zikiisihi serikali kuwasaidia kuwarejesha wapendwa wao. Visa vinne zaidi vya utekaji nyara vimenakiliwa nchini kulingana na shirika la Haki Africa. Shirika hilo linasema kuwa limenakili zaidi ya visa 93 vya utekaji nyara tangu mwezi Juni, 13 kati yavyo vilifanyika mwezi huu pekee.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive