12 Nov 2025 10:24 am | Citizen TV 225 views Duration: 1:45 Familia zaidi ya elfu ishirini na tano kutoka eneo la Habakik kaunti ya Tana River zinatarajiwa kufaidika na mradi nyumba pamoja na huduma zingine kutoka kwa mwekezaji mmoja kutoka nchini Canada.