Familia zatafuta riziki kwenye vyuma chakavu na chupa za plastiki

  • | KBC Video
    64 views

    Hebu tafakari jambo hili, kuishi kwenye jaa la taka kwa kipindi cha miaka mingi na hata kujifungulia mle na kulelea watoto mahali hapo. Hiyo ndiyo hali ya familia kadhaa kwenye jaa la taka la Mayungu katika eneo la Malindi, kaunti ya Kilifi. Familia mahali hapa hukosa chakula kwa siku kadhaa na wanapobahatika, wanapata makombo. Kupata riziki, familia hizi zinalazimika kutafuta mabaki ya plastiki na vyuma chakavu, hali ambayo hata haijawasaza wazee.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive