Furaha kwa Wanaanga wa NASA

  • | BBC Swahili
    230 views
    Tazama namna Wanaanga hawa waliokwama angani kwa takribani miezi tisa walivyofurahi baada ya kuwaona wenzao waliofuata ili kuwarudisha duniani Chombo cha SpaceX kilichokuwa na wafanyakazi wapya kimetia nanga katika Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS), kikifungua njia kwa wanaanga Butch Wilmore na Suni Williams kurejea nyumbani. Wanaanga hao walipaswa kuwa angani kwa siku nane pekee, lakini sasa ni zaidi ya miezi tisa. #bbcswahili #spaceX #ISS Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw