Skip to main content
Skip to main content

Fursa za Kibiashara: Jukwaa jipya la kimtandao lazinduliwa

  • | KBC Video
    50 views
    Duration: 2:05
    Viongozi wa sekta ya biashara sasa wanaweza kufurahia ushirikiano wa kimkakati unaoweza kutoa mwongozo mpya kwa sekta mbalimbali, kufuatia kuzinduliwa kwa programu mpya ya kimtandao humu nchini. Jukwaa hilo la kimataifa la mtandao wa biashara lililozinduliwa jijini Nairobi linatoa fursa kwa wakuu wa mashirika kushiriki katika mawasiliano yaliyopangwa kwa uangalifu, baina yao na wenzao, yakitegemea mfumo unaotambulika kimataifa unaolenga kukuza uaminifu, ubunifu na ushirikiano madhubuti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive