Gachagua asema rekodi yake ya utendakazi ni dhahiri

  • | Citizen TV
    9,081 views

    Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, ametoa jibu kwa madai ya Rais William Ruto kuwa alikuwa mzembe, akisema kuwa wananchi wanajua mzembe na mfisadi ni nani. Gachagua anadai kwamba tangu Rais Ruto achukue uongozi, taifa halijafaidi chochote kutoka kwa uongozi wake.