Gachagua awatuhumu maafisa wa polisi kwa utekaji nyara

  • | KBC Video
    187 views

    Shughuli mjini Embu zilisitishwa huku wakazi waliokuwa na ghadhabu wakifunga barabara na kuwasha moto wakitaka Billy Mwangi, anayedaiwa kutekwa nyara siku ya Jumamosi, aachiliwe. Wito wa kujiuzulu mara moja kwa inspekta jenerali wa polisi, mkuu wa idara ya ujasusi, DCI, na mkuu wa NIS unazidi kuongezeka kutokana na visa vya utekaji nyara nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive