- 563 views
Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anadai kulikuwa na majaribio mawili ya kumuangamiza; jaribio la kwanza likiwa mwezi Agosti mjini Kisumu, na la pili mwezi Septemba katika kaunti ya Nyeri kabla ya kuwasilishwa kwa hoja ya kumbandua madarakani. Akielezea kuhofia maisha yake, Gachagua alisimulia jinsi walinzi wake walivyoondolewa alipokuwa amelazwa hospitalini, punde tu baada ya bunge la Seneti kuidhinisha kuondolewa kwake.Hata hivyo alisema yeye bado ni naibu wa rais kuambatana na maagizo ya mahakama yaliyotolewa siku ya Ijumaa, akielezea matumaini kuwa mahakama itatoa uamuzi wa haki.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Gachagua: Nahofia maisha yangu... Ningali naibu rais wa Kenya
- - Duniani Leo ››
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - This is not the first time the former CS is landing a state job since he was fired by former President Uhuru Kenyatta.
- 30 Nov 2024 - Kenya Cup: Menengai Oilers eye consistency ahead of Strathmore Leos test
- 30 Nov 2024 - The government has continued to defend the rollout of SHA, with more money being spent on a nationwide campaign.
- 30 Nov 2024 - The president has been making a series of appointments in government bodies.
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe
- 30 Nov 2024 - Builders, construction firms protest planned 35pc duty on tiles
- 30 Nov 2024 - 2027: Year of judgement for broken promises, litany of lies