Gachagua: Uteuzi wa mawaziri hauhusu kupata wala kupoteza

  • | Citizen TV
    2,571 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa wakenya kutokuwa na mtazamo wa faida na hasara kuhusu uteuzi wa mawaziri wa hivi karibuni. Akizungumza katika kijiji cha Ntrukuma, kaunti ya Laikipia, Gachagua alisisitiza kuwa uteuzi huo unalenga kuleta umoja na mshikamano nchini.