Gari moshi la kusafirisha mizigo limepata ajali eneo la Lugari, Kakamega

  • | TV 47
    174 views

    Gari moshi la kusafirisha mizigo limepata ajali eneo la Lugari, Kakamega.

    Mabehewa kumi yakiwa yameanguka pembeni ya reli.

    Wakazi wakiwa wamekusanyika kuchukua ngano iliyomwagika kutoka kwa mabehewa yaliyoanguka.

    Polisi wakifika katika eneo la tukio, wakiwa na magari ya doria na wakizuia uporaji zaidi.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __