Gavana Fatuma Achani azindua zoezi la ugavi wa miche ya minazi 5,000 kwa wakulima 450 Kwale

  • | Citizen TV
    224 views

    Gavana wa Kwale Fatuma Achani amezindua zoezi la ugavi wa miche ya minazi 5,000 kwa wakulima 450 wa wadi 9 za kaunti hiyo.