Je, bakteria hatari wanaweza kujificha kwenye vipodozi?

  • | BBC Swahili
    250 views
    Wanasayansi waligundua bakteria wabaya kwenye sampuli za vipodozi zilizopitwa na muda, kama vile bakteria aina ya Candida yeast na E. coli . Kwa hivyo unawezaje kuweka vipodozi vyako salama na kuna hatari gani ikiwa hautafanya hivyo Lizzy Masinga na vidokezo zaidi 🎥: Frank Mavura - #bbcswahili #afya #vipodozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw