Gavana Fernandes Barasa akemea utekaji nyara

  • | Citizen TV
    298 views

    Gavana wa kakamega fernandes barasa naye ameongeza sauti yake kulaani visa vya utekaji nyara nchini. akizungumza huko Bulimbo Matungu , barasa ameitaka idara ya polisi kuongeza kasi ya kuwasaka waliotekwa nyara kwani ilikana kuhusika.