Gavana Sakaja Aomba Msamaha Kwa Kumwaga Taka Nje Ya Stima Plaza

  • | TV 47
    55 views

    Gavana Sakaja Aomba Msamaha Kwa Kumwaga Taka Nje Ya Stima Plaza

    Serikali ya kaunti ya Nairobi imewachukulia hatua maafisa wawili wa kaunti ambao ni Dkt. John Ntoiti, mkurugenzi anayesimamia mapato ya kaunti, na Sankale Lempaka, mkurugenzi wa kitengo cha ukusanyaji madeni, kufuatia tukio la kutupa taka lililoshuhudiwa wiki iliyopita katika makao ya Kenya Power.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __